Powerball na Mega Millions

Powerball na Mega MillionsKuna bahatinasibu karibu kila nchi duniani, lakini sio bahatinasibu zote ni kama Powerball na Mega Millions, bahatinasibu kubwa kuliko zote US. Michezo ya bahatinasibu ndani ya US imefikia viwango mpaka $ Billion 1,5 (mwaka 2016). Kitita cha pesa cha bahatinasibu katika eneo lako hakijawahi kufikia kiasi kama hicho, kwaio pale mashabiki wa michezo ya bahatinasibu wanaposoma kuhusu kitita cha kuvunja rekodi cha bahatinasibu ndani ya USA, wanajiuliza swali moja: Je naweza kucheza bahatinasibu za Powerball au Mega Millions kutoka hapa ninapoishi, labda mtandaoni?

Jibu rahisi ni ndio - mkazi wa nchi yeyote duniani anaweza kucheza Powerball au Mega Millions mtandaoni. Kuna huduma ya kuaminika inayokuruhusu kununua tiketi za bahatinasibu yeyote kubwa duniani. Ni rahisi sana - unachagua namba zako mtandaoni, na wanawaagiza mawakala wao ndani ya US kukununulia tiketi. Hizo tiketi za bahatinasibu zinakuwa na jina lako kwahiyo una umiliki halali kwenye tume ya bahatinasibu yenyewe kabisa. Kama ukishinda, watakusaidia pia kupata pesa zako.

Jina la kampuni hiyo ni RedFoxLotto - hiki hapa kiungio cha tovuti yao -, na wamekua wakitoa huduma hii tangu mwaka 2002. Zaidi ya wateja wao Millioni 2,2 wamenunua tiketi za ushindi kupitita wao katika miaka iliyopita. Jambo la muhimu kabisa ni kwamba utajipatia tiketi ya bahatinasibu origino hapa, na dio kushiriki kwenye bahatinasibu huko za kitapeli!

Kununua tiketi yako ya bahatinasibu mtandaoni

Kwanza, unatembelea tovuti yao, ambapo utachagua bahatinasibu ambayo unataka kushiriki. Tovuti inapatikana kwa lugha 15 tofauti tofauti. Wateja wengi hununua tiketi za bahatinasibu za US za Powerball na/au Mega Millions, lakini mara nyingi bahatinasibu za mataifa mengine zinakua na kitita kikubwa pia. Kama unataka kucheza bahatinasibu zaidi ya moja, hakuna tatizo kabisa.

Kinachofuata, chagua namba zako - tovuti inakuonesha namba ngapi unatakiwa kuchagua na pia inakupa nafasi ya kukuchagulia bila mpangilio. Baada ya hapo, chagua idadi ya tiketi unataka kununua, na idadi ya wiki unataka tiketi zako ziwe halali. Kutegemea na idadi ya wiki, utapata punguzo la mpaka 25%

Hatua inayofuata ni kusajili akaunti ya mteja na RedFoxLotto na kulipia - wateja wengi wanachagua uteuzi wa malipo ya kadi za malipo, lakini kuna nafasi za uteuzi mwingine pia kama Skrill, Neteller na (kutegemea na nchi ambayo upo) muhamala wa moja kwa moja kwenye benki.

Kwa malipo yako ya mtandaoni, itifaki za kisasa na zenye usalama mkubwa sana zitatumika ili usipate hofu yeyote kupata aina yeyote ya utapeli kwenye kadi yako ya malipo.

Watu wengi wanacheza bahatinasibu zinazopatikana maeneo yao tu, bila kujua nafasi hii ya kucheza bahatinasibu za kimataifa mtandaoni. Lakini sasa umekwisha fahamu, nini kinachokuzuia wewe kucheza na kupata kitita cha pesa ambacho mara nyingi ni mara 100 zaidi ya kiasi unachoweza kushinda kwenye bahatinasibu nchini kwako? Labda utakuwa mshindi atakaefuata wa kitita cha pesa kutoka Powerball au Mega Millions.

Web Analytics